New

VIVIAN KENYA – MASHARTI Lyrics

VIVIAN KENYA – MASHARTI
VIVIAN KENYA – MASHARTI

VIVIAN KENYA – MASHARTI Lyrics

Stream : VIVIAN KENYA – MASHARTI

Vivi, vivi, vivi Eeh..Iyeee.. (Uuuh yeeeaah)
Eeh.. eh.. Iyeee – Kwa Ilogos Music yeeaah

Mapenzi bila Masharti (Masharti)
Nakupenda bila Masharti (Masharti)

Mi nakupenda my sojaa
Izidishe mo mo mo
Uniongeze na ma-dollar
Njoo Kwangu njoo njoo njoo

Baibe nakufikiria daily
Hapa nakuandalia Keki
Tuikate mi na wewe baibe
Coz I’m in love with you
Baibe nakufikiria daily
Hapa nakuandalia Keki
Tuikate mi na wewe baibe
Coz I’m in love with you

Eeh Iye! Eh Iye! Eh Iye
Coz I’m in love with you
Eh Iye! Eh Iye !
Coz I’m in love with you
I’m in looove

Leo keja kutawaka Moto faya
Omutima kwe ko ko ko
Aki ya nani leo lazima utanisort
Baby boy we-ko-ko

Mapenzi bila Masharti (Masharti)
Nakupenda bila Masharti (Masharti)

Sitasikia another man stori
Sipendi uwongo
Ninacho-ona nikikutazama
Ni moyo wako (Yeahh!)

Baibe nakufikiria
Hapa nakuandalia Keki
Tuikate mi na wewe baibe
Coz I’m in love with you

Vivi eh eh eh eh
Eeh Iye
Coz I’m in love with you
Vivi Vivi
Coz I’m in love with you

Mapenzi bila Masharti (Masharti)
Nakupenda bila Masharti (Masharti) Uuu yeahh

Lalalalalalala ilogos music
Lalalalalalala Uuuuuuhhh

Mapenzi bila Masharti (Masharti)
Nakupenda bila Masharti (Masharti)

Vivi Eh eh eh eh
Masharti Uhh masharti!

Jamie

Call the classic man on +233542793417

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Back to top button