Lyrics : Rayvanny – Chombo

Lyrics Rayvanny - Chombo
Lyrics Rayvanny – Chombo

Lyrics : Rayvanny – Chombo

Enjoy below by learning the lyrics to Rayvanny’s trending single “Chombo”.

S2kizzy Baby
(ololololololo…)
Hehehe eh Vanny Boy! Vanny boy !
(ololololololo…)

Hey Foundation, wanja
Nywele ya bei ya kiwanja
Ndinga mkwanja
Shopping mwendo wa kuchanja
Sponsor danga
Nichune komesha viranga
Basi vimba tamba
(Pull up!) Wakikuchamba

Oooh lalala
Cheusi mangala wakanda
Oooh lalala
Tukale sangara Wa mwanza
Oooh lalala
Nywele chotara kinanda
Oooh lalala
Ghetto papara misamba

Chombo, chombo, chombo
Kanakwenda na fashion
Chombo, chombo, chombo
Kana ngozi ya lotion
Chombo, chombo, chombo
Party chumbani sebuleni
Chombo, chombo, chombo
Ntakapeleka ukweni

Macho yako malewa mie
Figo mkalia nyongo
Pekecha pekecha
Ulindi ulimbombo
Miniwako ning’ang’anie
Kama mbozi na kimondo
Nogesha nogesha
Pekere na kamongo

Oooh baby (baby)
Mwenzako nita died ( My baby)
Hizo fujo chumbani
Betuka binuka kwa bed beed

Oooh lalala
Cheusi mangala wakanda
Oooh lalala
Tukale sangara Wa mwanza
Oooh lalala
Nywele chotara kinanda
Oooh lalala
Ghetto papara misamba

Chombo, chombo, chombo
Kanakwenda na fashion
Chombo, chombo, chombo
Kana ngozi ya lotion
Chombo, chombo, chombo
Party chumbani sebuleni
Chombo, chombo, chombo
Ntakapeleka ukweni
(ololololololo…)
(ololololololo…)

Jamie

Call the classic man on +233542793417

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Back to top button