Lyrics : Dogo Sillah Ft. Khan Sillah – Toto Lao

Lyrics Dogo Sillah Ft. Khan Sillah – Toto Lao
Lyrics Dogo Sillah Ft. Khan Sillah – Toto Lao

Lyrics : Dogo Sillah Ft. Khan Sillah – Toto Lao

Khan Sillah toto lao(Toto lao)
Sillah kaka lao(Kaka lao)
Baba Sillah baba lao(Baba lao)
Mondi baba lao(Baba lao)

Eeeh mama Sillah mama lao(Mama lao)
Magufuli baba lao(Baba lao)
Magereza baba lao(Baba lao)
RS chama lao

Ngoma kwa ngoma ni kopo kopo
Humu ndani twakesha popo
We utasambazia moko moko
Moja baridi moja moto

Mmechoka eti?(Aaah wapi)
Mnataka kula?(Aaah wapi)
Njaa imezidi?(Aaah wapi)
Tukale mandazi?(Aaah wapi)

Basi cheza kisambukile sambamba
Hapo vipi inabamba
Inogile inatamba
Basi chanika msamba eeh

Wataweza kweli?(Aaah wapi)
Kushindana nasi(Aaah wapi)
Hata wakiungana(Aaah wapi)
Matusi kutukana(Aaah wapi)

Khan Sillah toto lao(Toto lao)
Sillah kaka lao(Kaka lao)
Baba Sillah baba lao(Baba lao)
Mondi baba lao(Baba lao)

Eeeh mama Sillah mama lao(Mama lao)
Magufuli baba lao(Baba lao)
Magereza baba lao(Baba lao)
RS chama lao

Sitaki sinema
Mama amesema(Amesema)
Mwambie dalema
Leo wali mna nyama(Hamna nyama)

Kakanyaga ndizi kaseleleka
Eeeh tumemkwepa
Amebaki masononeko
Eeeh tunamcheka

Kwanza kunja gadi(Nawe kunja gadi)
Kisha vua shati(Nawe vua shati)
Cheza kama monkey
Kunja ukidanki danki

Eeh tumewachapa(Kidude)
Hakichomoki(Kidude)
Kimewanasa(Kidude)
Wanatapatapa(Kidude)

Chizi karogwa tena
Chizi chizi karogwa tena eeh
Chizi karogwa tena
Chizi chizi karogwa tena eeh

Chizi karogwa tena
Chizi chizi karogwa tena eeh
Chizi karogwa tena
Chizi chizi karogwa tena eeh

Khan Sillah toto lao(Toto lao)
Sillah kaka lao(Kaka lao)
Baba Sillah baba lao(Baba lao)
Mondi baba lao(Baba lao)

Eeeh mama Sillah mama lao(Mama lao)
Magufuli baba lao(Baba lao)
Magereza baba lao(Baba lao)
RS chama lao

Mzuka ukipanda
Na hili shati navua(Acha uongo)
Mzuka ukipanda
Na hili bukta navua(Acha uongo)

Jamani navua(Acha uongo)
Hamna navua(Acha uongo)
Mwenzenu navua(Acha uongo)

Sillah napiga Yope(Huwezi)
Khani napiga Yope(Huwezi)
Chemi Dash napiga Yope(Huwezi)
Mimi napiga Yope(Huwezi)

Eeh! Eeh! Eeeh! Eeeh!..Eeeeeh!
Eh! Eh! Eh! Eh Eh… Eeeh!

Mazi napiga Yope(Huwezi)
Mi napiga Yope(Huwezi)
Fenye napiga Yope(Huwezi)
Joni napiga Yope(Huwezi)

Eeh! Eeh! Eeeh! Eeeh!..Eeeeeh!
Eh! Eh! Eh! Eh Eh… Eeeh!

Jamie

Call the classic man on +233542793417

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Back to top button