New

Harmonize – Hujanikomoa Lyrics

Harmonize - Hujanikomoa
Harmonize – Hujanikomoa

Harmonize – Hujanikomoa Lyrics

Get Audio : Harmonize – Hujanikomoa

Hii hapa sauti ya Konde Boy mjeshi
(Konde Boy)

Mwambieni dada yenu hajanikomoa
Eti badala ya kujenga anabomoa
Mwambieni dada yenu hajanikomoa
Badala ya kujenga anabomoa

Eti mapenzi hayalazimishwi
Tena ni siri ya watu wawili
Wala si kuwa mbishi
Alivyoni kataa kimwili

Asa jana nipo kwa mama winnie
Napiga zangu chai vitumbua
Eti kasambaza za chini chini
Mie bado ninamsumbua

Ooo mwambieni dada yenu hajanikomoa
Eti badala ya kujenga anabomoa
Mwambieni dada yenu hajanikomoa
Badala ya kujenga ana

Dodo style, eeh Moodi mnyama
Msalimie mjengo tamu
Eeh wapi mchachambo mchachambo
Mwambie chibaba afagie njia wanajeshi tunapita

Twende twende

Asa mguu pande mguu pande
Twende mguu sawa mguu sawa
Eeh mguu pande mguu pande
mguu sawa mguu sawa

Ruka kijeda kijeda
Wahuni kijeda kijeda
Asa japo kijeda kijeda
Gwaride la kijeda kijeda

Bosi mwenye bodaboda hujanikomoa
Eti badala ya kujenga unabomoa
Oooo si mwenye bajaji hujanikomoa
Badala ya kujenga unabomoa

Chombo imelala gereji
Mie jana sijakula vichwa
Umetuma bonge la meseji
Unataka pesa jua tulikicha

Mi nafanya kazi kwa shida
Nakesha tena silali
Unachukulia barida
Kwa nguvu unadai salary

Muda mwingine niwabebe ndugu zako
Oooo oooo ndugu zako
Mwisho wa wiki unataka pesa zako
Oooo oooo pesa zako

Bosi mwenye bodaboda hujanikomoa
Maana badala ya kujenga unabomoa
Oooo si mwenye bajaji hujanikomoa
Eti badala ya kujenga

Wazee wachafu tatoo, mama
Chafu tatoo, sija
Asa chafu tatoo
Chafu tatoo

Nasema K ndani, wahuni
K ndani, machizi boti
Ana dume ndani, doke boti
Dume ndani, yua pigwa mate

Mzungu wa pili ndani, wahuni
Pili ndani Aya sasa chafua, walete
Chafua, walete Wahuni chafua, walete
Chafua walete

Nasema fitizi hiyo, baruti
Fitizi hiyo, baruti
Fitizi hiyobaruti, fitizi hiyo, baruti
Juma mpogo

Msalimie omari omari
Na nifikishie salamu zangu kwa dogo mfalme
Waambie gurudumu linasongeshwa
Na Konde Boy Mjeshi

Kama unampenda dogo mfalme kimbiaa
Kama unampenda Omari Omari Kelele
Mwambie mzambele ajinyonge
Hunter jinyonge

Baba mwenye nyumba wangu hujanikomoa
Maana badala ya kujenga unabomoa
Baaba mwenye nyumba wangu hujanikomoa
Badala ya kujenga unabomoa

Unakuja mpaka ndani
Tena billa kugonga hodi
Niulizapo ku nani
Nimechelewa kulipa kodi

Umeme kwangu umekata
Taa kwako zinawaka
Ata maji umekata
Nashindwa gogo kukata

Kupata majaliwa
Ipo siku utapewa
Kwangu nitahamia
Hata ikichelewa

Baba mwenye nyumba wangu hujanikomoa
Eti badala ya kujenga unabomoa
Hii ni order toka jeshini
Namanisha kambi kuu Konde Gang
Na anaye zungumza hapa ni mjeshi
Wa majeshi yote ya Konde Gang
Tulia, tulia, tulia
Kaa chini wewe, kaa chini

Aya sasa toa shati toa shati
Aah zungusha shati zungusha shati
Eeh mpaka kofia yaani dareki
Wazee wa vitambaa vitambaa

Jamie

Call the classic man on +233542793417

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Back to top button